Tuesday, 12 December 2017

Rais magufuri awakemea wanaocheza uchi

Raiswa jamhuri ya muungano wa Tanzania jana tarehe 12/12/2017 akiongea na jumuiya ya wazazi ccm alikemea vikari viyendo vya kina dada na wanawake kwa ujumla kucheza wakiwa uchi alisema dk Magufuri ya kwamba " hii ni jumuiya ya wazazi lakini munafahamu kuna baadhi ya maadili yameanza kupotea yanaanza polepole na hii jumuiya ya wazazi ilikubariki kutimia hayo kuweni na masharti ya maadili mazuri ya miziki kila unapozungumza mziki ukitaka kuwaona wanaocheza uchi ni wanawake wanaume hapana wanaume wanacheza wakiwa wamevaa sanasana wataacha kifua wazi ilikionekana kama ni six part au vipi lakini wanawake si wote lakini baadhi yao waliowengi " alisema pia akiwauliza kwa mazingatio makubwa "tuna wafundisha nini watoto wetu"  hii ina maana mh rais ameona sasa athari ya kuwakalia kimya ni kupoteza tamaduni zetu na utu wetu aidha dk magufuri alishangazwa na taasisi zenye dhamana hiyo katika maadili ya taifa na vyombo vya habari kuona wamakaa kimya.

No comments:

Post a Comment

MADHARA NA FAIDA YA KITUNGUU MAJI

Na Imaam Jafari Mtavassy As, alaykum ndugu wasomajia na wapenzi wa blogg yetu hii pendwa leo nimechagua katika elimu ya tiba niongelee jamb...