(1)Kwa jina la Allah mwingi wa rehma mwenyekurehemu.
(2)kila sifa njema zinamstahiqi M/Mungu Mlezi wa ulimwengu.
(3) Mwingi wa rehma mwenye kurehemu.
(4) Mfalme wa siku ya dini (siku ya qiama).
(5)Wewe tu ndio tunakuabudu nawe tu ndio tunakuomba msaada.
(6)Tuongoze njia iliyo nyooka(yaani tuthubutishe,tufanye wenye kushikamana na dini ya uisilamu,uisilamubndio njia iliyo nyooka.
(7) njia ya wale ulio waneemesha sio ya wale walio kasirikiwa( yaani mayahudi) wala ya wale waliopotea(wanaswara watu wa kimasihi)
No comments:
Post a Comment