Saturday, 13 January 2018

MADHARA NA FAIDA YA KITUNGUU MAJI

Na Imaam Jafari Mtavassy

As, alaykum ndugu wasomajia na wapenzi wa blogg yetu hii pendwa leo nimechagua katika elimu ya tiba niongelee jambo ambalo ni nyeti kidogo kwa mwanaadamu kutokana na umuhimu pekee wa jambo hilo
Kitunguu maji ni miongoni mwa vitu vyenye manufaa makubwa kwa mwanaadamu na imethibiti kwa matabibu mbalimbali wao wameandika mpaka kalamu ziatoka povu kwa yale waliyoandika miongoni mwa faida hakuna leo asiyejua kwamba juisi ya kitunguu maji inafanya kazi ya kuhuisha seli hai za mwili yaani askari wa mwili wanakuwa madhubuti na kuzuwia tatizo la upungufu mkubwa wa kinga ya mwili sasa leo nitaongeza miongoni mwa faida tengwa ambazo hazisemwi Sana hasa kwenye mitandao kama hii
(1) Ni kuongeza nguvu za kiume yani uwezo wa tendo la ndoa kwa wanaume na kumfanya asikie furaha vilivyo hii ni kwa matumizi ya kula au kutengeneza juisi itokanayo na Vitunguu maji.
(2) Ni athari itokanayo na matumizi ya Kitunguu maji kisichopikwa au juisi niliyoitaja hapo juu, matumizi hayo pia ni hatari kwa afya ya akili umri usogeapo mathalan unapoingia katika Eg ya uzee unaweza ukakumbwa na tatizo la kasahau sana au akili kuondoka moja kwa moja
(b)  ni mbaya hata kabla ya huko kwenye umri wa uzeeni bali hata kijana hupata tatizo la kutohifadhi kumbukumbu ipasavyo kama mtu anaetumia miadarati kwa hayo machache nikupongeze kwa subira hata ukasoma maelezo haya kwa umakini na nikuombee kwa M/Mungu afya tele ili tukutane tena kwenye makala mengine tena aamin
Unufaike kwa haya
            Machache.

3 comments:

  1. Kizungu hakina madhara kama nitakula kibichi na chunvi na pilipili na ndimu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kitakuwa na madhara ila ya muda mrefu sana hufanya akili kupooza

      Delete
  2. Jee ukitafuna kitunguu kibichi pkeake

    ReplyDelete

MADHARA NA FAIDA YA KITUNGUU MAJI

Na Imaam Jafari Mtavassy As, alaykum ndugu wasomajia na wapenzi wa blogg yetu hii pendwa leo nimechagua katika elimu ya tiba niongelee jamb...