Saturday, 30 December 2017

Imaam skh Jafari Mtavassy na maadili

Imaam skh Jafari Mtavassy ni miongoni mwa maimamu walioguswa na kusononeshwa na mmomonyoko wa maadili kutokana na hali ilivyo hali ya ongezeko la ugonjwa wazimu wehu pamoja na kukithiri magonjwa ambukizi yatokanayo na ngono pia ametaja kuwa ni viashiria vikubwa vya mmomonyoko wa maadili nchini hata pia ikawa sababu ya kuanzisha taasisi kwaajili ya kupambana na mmomonyoko wa maadili  na Imaam Mtavassy amejikita anajikita zaidi katika kutoa elimu rika ili kuikomboa jamii Katika maneno aliyowahi kiama ni " mmomonyoko wa maadili ndio sababu ya kila uovu duniani hatuwezi kuwa salama kiafya,kiimani na hata hatuwezi kuwa na viongozi waadilifu" maneno ambayo ni ufunguo wa fikra kwa kila mwenye akili tambuzi.

No comments:

Post a Comment

MADHARA NA FAIDA YA KITUNGUU MAJI

Na Imaam Jafari Mtavassy As, alaykum ndugu wasomajia na wapenzi wa blogg yetu hii pendwa leo nimechagua katika elimu ya tiba niongelee jamb...