Saturday, 13 January 2018

MADHARA NA FAIDA YA KITUNGUU MAJI

Na Imaam Jafari Mtavassy

As, alaykum ndugu wasomajia na wapenzi wa blogg yetu hii pendwa leo nimechagua katika elimu ya tiba niongelee jambo ambalo ni nyeti kidogo kwa mwanaadamu kutokana na umuhimu pekee wa jambo hilo
Kitunguu maji ni miongoni mwa vitu vyenye manufaa makubwa kwa mwanaadamu na imethibiti kwa matabibu mbalimbali wao wameandika mpaka kalamu ziatoka povu kwa yale waliyoandika miongoni mwa faida hakuna leo asiyejua kwamba juisi ya kitunguu maji inafanya kazi ya kuhuisha seli hai za mwili yaani askari wa mwili wanakuwa madhubuti na kuzuwia tatizo la upungufu mkubwa wa kinga ya mwili sasa leo nitaongeza miongoni mwa faida tengwa ambazo hazisemwi Sana hasa kwenye mitandao kama hii
(1) Ni kuongeza nguvu za kiume yani uwezo wa tendo la ndoa kwa wanaume na kumfanya asikie furaha vilivyo hii ni kwa matumizi ya kula au kutengeneza juisi itokanayo na Vitunguu maji.
(2) Ni athari itokanayo na matumizi ya Kitunguu maji kisichopikwa au juisi niliyoitaja hapo juu, matumizi hayo pia ni hatari kwa afya ya akili umri usogeapo mathalan unapoingia katika Eg ya uzee unaweza ukakumbwa na tatizo la kasahau sana au akili kuondoka moja kwa moja
(b)  ni mbaya hata kabla ya huko kwenye umri wa uzeeni bali hata kijana hupata tatizo la kutohifadhi kumbukumbu ipasavyo kama mtu anaetumia miadarati kwa hayo machache nikupongeze kwa subira hata ukasoma maelezo haya kwa umakini na nikuombee kwa M/Mungu afya tele ili tukutane tena kwenye makala mengine tena aamin
Unufaike kwa haya
            Machache.

Saturday, 30 December 2017

Imaam skh Jafari Mtavassy na maadili

Imaam skh Jafari Mtavassy ni miongoni mwa maimamu walioguswa na kusononeshwa na mmomonyoko wa maadili kutokana na hali ilivyo hali ya ongezeko la ugonjwa wazimu wehu pamoja na kukithiri magonjwa ambukizi yatokanayo na ngono pia ametaja kuwa ni viashiria vikubwa vya mmomonyoko wa maadili nchini hata pia ikawa sababu ya kuanzisha taasisi kwaajili ya kupambana na mmomonyoko wa maadili  na Imaam Mtavassy amejikita anajikita zaidi katika kutoa elimu rika ili kuikomboa jamii Katika maneno aliyowahi kiama ni " mmomonyoko wa maadili ndio sababu ya kila uovu duniani hatuwezi kuwa salama kiafya,kiimani na hata hatuwezi kuwa na viongozi waadilifu" maneno ambayo ni ufunguo wa fikra kwa kila mwenye akili tambuzi.

Friday, 29 December 2017

POLISI YAMSAKA MDHALILISHAJI

Huko Mbagala Majimatitu jana 29 Dec 2017 imelipotiwa kuwa hali ilichafuka mitaani kwa yaliyojitokeza habari zinasema kuwa mwanamama mmoja (jina tunalihifadhi) ambaye ni mke wa bwana mmoja ambaye ni mfanya biashara alijiwa na bwana mmoja ambaye ni mtumishi wake akiwa nyumbani kwake na kumshambulia vikari lakini walipoingilia kati majirani wema majibu yakawa "huyu amechelewa sana kurudi "  kana kwamba amepewa mamlaka ya kumdhibiti na mume wake lakini la kustaajabisha mume alikuwepo ndani wakati yote hayo yanajiri siku mbele ndipo yalipo jiri haya mazito zaidi ya kwamba asubuhi 29 dec watu walipoamka walikuta picha zimebandikwa kila kona za mitaa zikiwa na ujumbe mbaya unaomhusu mwanamama huyo ukimtuhumu Kufanya biashara haramu ya kuuza mwili wake taarifa zikamfikia mwenyewe kabla hakuja pambazuka vizuri alipopewa habari zilizopo kuhusu kuchafuliwa huko alisema "Ninafahamu ni nani aliyefanya hivyo" akatoka na akaanza kubandua pamoja naywasamalia wema picha zake na matangazo yanayo muhusu baadae alifika kituo cha Kati cha polisi na kuripoti ilipofika alasiri msako wa polisi kumtafuta mtuhumiwa ulianza na kwa habari zilizopo alicharopoka bado haja kamatwa na mpaka sasa na pamoja na yote hayo kuna tetesi za kuwa hayo yote yamesababishwa  na wivu wa mapenzi japo kuwa sio taarifa rasmi ila tukio la kuchafuana ni baada ya mfanyakazi huyo kuoa mke siku moja mbele.

Monday, 18 December 2017

Tafsiri ya surat fat,ha (ina aya 7 imetereka makkah ina majina 11)


(1)Kwa jina la Allah mwingi wa rehma mwenyekurehemu.
(2)kila sifa njema zinamstahiqi M/Mungu Mlezi wa ulimwengu.
(3) Mwingi wa rehma mwenye kurehemu.
(4) Mfalme wa siku ya dini (siku ya qiama).
(5)Wewe tu ndio tunakuabudu nawe tu ndio tunakuomba msaada.
(6)Tuongoze njia iliyo nyooka(yaani tuthubutishe,tufanye wenye kushikamana na dini ya uisilamu,uisilamubndio njia iliyo nyooka.
(7) njia ya wale ulio waneemesha sio ya wale walio kasirikiwa( yaani mayahudi) wala ya wale waliopotea(wanaswara watu wa kimasihi)

Mtoto wa Muammar Gaddafi kugombea urais Libya 2018

CAIRO - 17 Desemba 2017: "Saif al-Islam Gaddafi, mwana wa rais wa zamani wa Libya, anaungwa mkono na makabila makubwa katika Libya ili aweze kukimbia kwa ajili ya uchaguzi ujao wa rais  2018," alisema Libya  Chief na msemaji wa Gaddafi familia, Basem al-Hashimi al-Soul aliiambia Misri Today.
Al-Soul aliiambia Misri Leo kwamba Saif al-Islam ameandaa jukwaa lake ambalo anatarajia kutangaza hivi karibuni. "Jukwaa hilo linajumuisha taratibu ambazo Saif al-Islam anatarajia Umoja wa Mataifa utaweza kusaidia Libya kuhama kutoka kwenye kipindi cha mpito kwa utulivu."
"Saif al-Islam anampango wa kuweka usalama zaidi na utulivu kwa mujibu wa jiografia ya Libya na katika ushirikiano na vikundi vyote vya Libya," al-Soul alionyesha.
Uchaguzi wa rais nchini Libya unafanyika katikati ya mwaka 2018, Waziri wa Mambo ya Nje wa Libya (GNA) Mohamed Siala alisema Jumatano katika mjadala wa jopo la Valdai Club nchini Urusi. "Tunaamini kuwa uchaguzi wa rais utafanyika katikati ya 2018," Siala aliwaambia waandishi wa habari wa kigeni.
Waziri wa mambo ya nje wa Misri, Tunisia na Algeria wamekutana katika nchi ya Tunisia Jumamosi ili kuanza tena majadiliano juu ya maendeleo ya usalama na kisiasa ya Libya. Libya imekuwa tishio kubwa zaidi la usalama linalokabili hali ya Misri, pamoja na Tunisia na Algeria. Kushindwa kwa mara kwa mara  upatanisho wa kimataifa na kujaribu kuanguka kwa silaha mikononi mwa makundi ya wapiganaji walilazimisha Misri kuwa na jukumu kubwa katika kutatua migogoro ya Libya
Wiki iliyopita, Rais Abdel Fatah al-Sisi alikutana na Mwenyekiti wa Libya wa Baraza la Rais Fayez al-Sarraj na kujadili mikataba ya kisiasa muhimu ili kuhifadhi umoja wa Libya na utimilifu.
Mkutano huo ulihudhuriwa na viongozi high-profile kutoka pande zote mbili, Waziri yaani Libya Mohamed al-Taher, Libya Waziri wa Fedha Osama Hammad, Waziri wa Nje wa Misri Sameh Shoukry, Misri Waziri wa Fedha Amr el-Garhy, Misri Intelligence Chief Khalid Fawzy na balozi wa Misri kwa Libya.Msemaji wa rais wa Misri, Bassam Rady, alisema kuwa Misri inakaribisha mikutano ya mara kwa mara ya wakuu wa kijeshi wa Libya huko Cairo; alisisitiza pia kuwa Misri inadai mapendekezo ya kigeni yenye lengo la kuingilia kati katika maswala ya ndani ya Libya.

"Sisi na Sarraj walitumia njia ya ushirikiano kati ya nchi mbili za kupigana na ugaidi na kuongeza jitihada za kimataifa kwa kuendeleza mkakati kamili dhidi ya ugaidi," taarifa hiyo imesoma.

Mnamo Desemba 2015, 22 wabunge wa Libya walitia saini makubaliano ya Skhirat nchini Morocco, ili kukomesha vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyotokea Libya mwaka 2014. Mkataba wa Skhirat ulianza kutumika mnamo Aprili 6, 2016.

Serikali ya Mkataba wa Taifa, iliyoongozwa na Fayez al-Sarraj ilikuwa ni ya kwanza ya saruji ya mkataba wa Skhirat. Mkutano wa kwanza wa baraza la mawaziri la Serikali ya Mkataba wa Taifa ulifanyika Januari 2, 2016 nchini Tunisia.
Kwa halivyo ohmaonyesha mtoto wa Muammar Gaddafi anayo nafasi kubwa kwa makundi yote kwa hivyo kama ataingia katika jukwaa kama ivyosema msemaji wa taasisi ya Gaddafi na msemaji wa familia itakuwa ni kazi nyepesi na anaweza kutwaa kiti cha marehemu hayati Muammar Gaddafi

Saturday, 16 December 2017

Mtavassy muslim foundationtanzania mmftz قصة ثعلب رضي الله عنه

كان ثعلبة رضي الله عنه_ يخدم النبي في جميع شؤونه ، وذات يوم بعثه رسول الله في حاجة له فمر بباب رجل من الأنصار فرأى امرأة تغتسل وأطال النظر إليها فأخذته الرهبة وخاف أن ينزل الوحي على رسول الله بما صنع فلم يعد الى النبي ، ودخل جبالا بين مكة والمدينة ، ومكث فيها قرابة أربعين يوماً. فنزل جبريل على النبي وقال : يا محمد ، إن ربك يقرئك السلام ويقول لك أن رجلاً من أمتك بين حفرة في الجبال متعوذ بي . فقال النبي لعمر بن الخطاب وسلمان الفارسي : انطلقا فأتياني بثعلبة ، ولما رجعا به قالا هو ذا يارسول الله ؟فقال له: ما غيبك عني ياثعلبة؟ قال : ذنبي يا رسول الله .قال : أفلا أدلك على آية تمحو الذنوب والخطايا ؟قال : بلى يا رسول الله .قال : قل (ربنا آتنا في الدنيا حسنة وفي الآخرة حسنة وقنا عذاب النار) .قال : ذنبي أعظمقال رسول الله : بل كلام الله أعظم ثم أمره بالانصراف إلى منزله فمر من ثعلبة ثمانية أيام .!! فقال رسول الله : فقوموا بنا اليه، ودخل عليه الرسول فوضع رأس ثعلبة في حجره لكن سرعان ماأزال ثعلبة رأسه منعلى حجر النبي ،فقال له : لمَ أزلت رأسك عن حجري ؟ فقال : لأنه ملآن بالذنوب .قال رسول الله ما تشتكي ؟قال : مثل دبيب النمل بين عظمي ولحمي وجلدي .قال الرسول الكريم : ما تشتهي؟ قال : مغفرة ربي ،فنزل جبريل فقال : يا محمد إن ربك يقرؤك السلام ويقول لك لو أن عبدي هذا لقيني بقراب الأرض خطايا لقيته بقرابها مغفرة .فأعلمه النبي بذلك، فصاح صيحة بعدها مات على أثرها . فأمر النبي بغسله وكفنه فلما صلى عليه الرسول جعل يمشي على أطراف أنامله ،فلما انتهى الدفن قيل لرسول الله: يا رسول الله رأيناك تمشي على أطراف أناملك ؟قال الرسول : والذي بعثني بالحق نبياً ماقدرت أن أضع قدمي على الأرض من كثرةما نزل من الملائكة لتشييع ثعلبه . - لا تكن انانيا فقط تقرأ فغيرك قد يقراها لأول مرة ، بل اقرأ وأرسل لعل الله ينفع بك [ ربنا آتنا في الدنـيا حسنة ، وفي الآخرة حسنة ، وقنا عذاب النار ].من أجمل ما قرأت دعاء لا ترسله إلا لمن تثق انه لن يتوقف عنده : ((اللَّهُمَّ إِنِّى أَعُوذُ بِكَ مِنْ زَوَالِ نِعْمَتِكَ وَتَحَوُّلِ  عَافِيَتِكَ وَفُجَاءَةِ نِقْمَتِكَ وَجَمِيعِ سَخَطِك)) ،. ​أرسلها لي و لغيري ​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​قل معي : {يافارج الهمّ.. وياكاشف الغم... فرّج همي.. ويسرّ أمري..و أرحم ضعفي.. وقلة حيلتي ..وأرزقني من حيث لا أحتسب يارب العالمين} قال الرسول صلى الله عليه واله وسلم: {مَن أخبَرَ الناس بِهذا الدعاء فَرج الله هَمه.
لاتنسى اعجابك بصفحة معلومات غريبة جدا

Tuesday, 12 December 2017

Rais magufuri awakemea wanaocheza uchi

Raiswa jamhuri ya muungano wa Tanzania jana tarehe 12/12/2017 akiongea na jumuiya ya wazazi ccm alikemea vikari viyendo vya kina dada na wanawake kwa ujumla kucheza wakiwa uchi alisema dk Magufuri ya kwamba " hii ni jumuiya ya wazazi lakini munafahamu kuna baadhi ya maadili yameanza kupotea yanaanza polepole na hii jumuiya ya wazazi ilikubariki kutimia hayo kuweni na masharti ya maadili mazuri ya miziki kila unapozungumza mziki ukitaka kuwaona wanaocheza uchi ni wanawake wanaume hapana wanaume wanacheza wakiwa wamevaa sanasana wataacha kifua wazi ilikionekana kama ni six part au vipi lakini wanawake si wote lakini baadhi yao waliowengi " alisema pia akiwauliza kwa mazingatio makubwa "tuna wafundisha nini watoto wetu"  hii ina maana mh rais ameona sasa athari ya kuwakalia kimya ni kupoteza tamaduni zetu na utu wetu aidha dk magufuri alishangazwa na taasisi zenye dhamana hiyo katika maadili ya taifa na vyombo vya habari kuona wamakaa kimya.

MADHARA NA FAIDA YA KITUNGUU MAJI

Na Imaam Jafari Mtavassy As, alaykum ndugu wasomajia na wapenzi wa blogg yetu hii pendwa leo nimechagua katika elimu ya tiba niongelee jamb...